Friday, June 27, 2014

HILI NDILO VAZI ATAKALO VAA DIAMOND TUZO ZA BET JUMAMOSI HII


Vazi jipya la msanii Diamond.
Vazi jipya la msanii Diamond.
Tuzo za BET Awards zinatarajia kuafanyika siku ya jumamosi tarehe juni 28 mwaka huu. Msanii Diamond anawania kipengele cha Best African Act.
Hii ni sehemu ya vazi atakalo livaa siku ya fainali tuzo za BET nchini Marekani. Vazi hilo limetengenezwa na Sheria Ngowi.

No comments:

Post a Comment