STICK WAMICHANO
Friday, June 27, 2014
SHETTA FT. DIAMOND ” KEREWA” INAYOFANYIKA AFRIKA KUSINI LEO
Shetta ni msanii mwingine wa Tanzania ambaye ameanza kuliwinda soko la kimataifa na hatua ya kwanza katika mpango huo aliamua kushoot video yake ya wimbo wake KEREWA nchini Afrika kusini na mwongozaji godfather ambaye tayari ana historia ya kufanya kazi na wasanii wakubwa wa afrika wakiwemo P- Square, Davido na wengine.
Amesema kuwa habari njema ni kuwa video hiyo ambayo audio yake kamshirikisha rafiki yake wa mdua mrufu Nasib Abdul kaka Diamond.
Songi hilo linatarajiwa kuachiwa leo huku Video ikipangwa kufanyika Cape Town Afrika kusini na imegaramiwa kati ya shilingi milioni 20 hadi 25 za Tanzania.
Subscribe to:
Posts (Atom)